Advancing the Children and Young People's Agenda

created by Fema teams |

Femina Hip and UNICEF Tanzania have signed a short-term partnership to advance the Children and Young People's Agenda that the two organisations worked together to develop in 2019. This round will involve a series of consultations with key stakeholders, including Members of Parliament, as well as amplifying voices of children and young people, during the period of October-December 2021. It is also part of the UNICEF 75 celebrations. Femina Hip has to that effect recently signed a funding contract with UNICEF worth TZS 84,718,361 /-.

We thank UNICEF for this support and for its continued partnership impacting the lives of young people. #KwaKilaMtoto #ForEveryChild #unicef75 #changemakers4children #uniceftz #feminahip

___________________

Kuendeleza Ajenda ya Watoto na Vijana

Femina Hip na UNICEF Tanzania wametia saini ushirikiano wa muda mfupi ili kuendeleza Ajenda ya Watoto na Vijana ambayo mashirika hayo mawili yalishirikiana kuitengeneza mwaka 2019. Duru hii itahusisha mfululizo wa mashauriano na wadau muhimu wakiwemo Wabunge, pamoja na kupaza sauti za watoto na vijana, katika kipindi cha Oktoba-Desemba 2021. Shughuli hizo pia ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 75 ya UNICEF. Ili kutekeleza shughuli hizo, hivi karibuni Femina Hip imesaini mkataba wa ufadhili na UNICEF wenye thamani ya TZS 84,718,361/-.

Tunaishukuru UNICEF kwa msaada huu na kwa ushirikiano wake unaoendelea kugusa maisha ya vijana. #KwaKilaMtoto #ForEveryChild #unicef75 #changemakers4children #uniceftz #feminahip